Siku zote napofikiria neno facebook na ninapojaribu kupata neno sahihi la kiswahili litakalonipa maana halisi ya neno hilo,bado inakua vigumu kupata neno la kiswahili linaridhisha.
Wadau naomba msaada wenu kama kuna mtu yeyote mwenye tafsili nzuri ya hili neno facebook ili uninasue kwenye tope,
Asante,Mpwa
7 comments:
MPWA FACEBOOK maana yake Kitabu cha sura/kitabu cha taswira!-DMK-
Uso Kitabu.
kitabu cha sula au sula ya kitabu
Taswira kitabuni!
mpwa maana ni sura nzuri ya kitabu kinaonyesha uzuri wa kitabu
Ni kitabu cha sura !!
nashangaa watu wanavyotafsiri kingereza kwenda kiswahili kama ilivyo mfano facebook-sura kitabu , haileti maana.inatakiwa uelewe ina maana gani kwanza/ yani theme ya neno kwa hicho hicho kingereza then peleka kwa kiswahili sio neno kwa neno kama lilivyo
Janeth
JALADA
Post a Comment