ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, November 23, 2010

Msaada kwenye tope!!

Siku zote napofikiria neno facebook na ninapojaribu kupata neno sahihi la kiswahili litakalonipa maana halisi ya neno hilo,bado inakua vigumu kupata neno la kiswahili linaridhisha.


Wadau naomba msaada wenu kama kuna mtu yeyote mwenye tafsili nzuri ya hili neno facebook ili uninasue kwenye tope,
Asante,Mpwa

7 comments:

DMK said...

MPWA FACEBOOK maana yake Kitabu cha sura/kitabu cha taswira!-DMK-

Anonymous said...

Uso Kitabu.

Anonymous said...

kitabu cha sula au sula ya kitabu

Anonymous said...

Taswira kitabuni!

Anonymous said...

mpwa maana ni sura nzuri ya kitabu kinaonyesha uzuri wa kitabu

Anonymous said...

Ni kitabu cha sura !!
nashangaa watu wanavyotafsiri kingereza kwenda kiswahili kama ilivyo mfano facebook-sura kitabu , haileti maana.inatakiwa uelewe ina maana gani kwanza/ yani theme ya neno kwa hicho hicho kingereza then peleka kwa kiswahili sio neno kwa neno kama lilivyo

Janeth

Anonymous said...

JALADA