Picha za Maandamano yaliyofanywa na baadhi ya Watanzania waishio Washington,DC,kupinga matokeo ya uchaguzi Tanzania,hazikuweza kupatikana kutokana na wahusika kutojibu simu zao na zingine haziwezi kutoa mawasiliano tena VIJIMAMBO inaomba radhi kwa wadau waliokua na kiu ya kuziona picha hizo pamoja na video.
No comments:
Post a Comment