ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, December 15, 2010

Image
Baadhi ya waendesha pikipiki maarufu bodaboda wa kata za Kitunda na Kivule wakipatiwa mafunzo ya namna ya kujikinga na ajali barabarani na Mkaguzi Mkuu wa Magari kutoka Idara ya Usalama Barabarani, Mkoa wa Kinondoni, Solomon Mwangamilo wakati wa uzinduzi wa mafunzo hayo yaliyoratibiwa na Shirika la APEC, Dar es Salaam. (Picha na Fadhili Akida)

No comments: