ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, December 9, 2010

BUFFET LA UHURU LA EAT AS MUCH AS YOU CAN FOR $10 LINAENDELEA MILLENIUM 1511 UNIVERSITY BLVD,HYATTSVILLE,MD,20783

Wali mweupe.wa rangi vyuku,samaki,kabichi,mchicha,nyama mchuzi na kavu vyapati na vingine vingi karibuni sana miaka 49 si mchezo

2 comments:

Anonymous said...

watu kwa kula tuu wapo,kwa mambo ya majukumu ya maaana uwaoni.kuleni mnenepe

Anonymous said...

kmamake wallah ningekuwa naishi DC metro mngenikoma.Bahati mbaya nipo mbali.Haya mambo ni mpaka pawe na mbongo anayeolewa na mpopo/mzungu ndo tunayaona mitaa yetu.Lol.Anyway, Happy birthday Tanganyika aka tanzania bara.