Hii ndio team ya pool ya DC itakayopambana na team za America Pool Association (APA) league jumanosi ya tarehe 12/11/10. Kutakuwa na mechi 7 na mshindi atapatiwa $10,000. Kwa niaba ya Team ya DC, coach Rashidi Mkakile kasema team yake imefanya mazoezi ya kutosha na inategemea kushinda na kuchukua hizo pesa. Karibuni mshangile team yetu ya DC.(picha na Seif Ndossa)

No comments:
Post a Comment