Daraja refu linalounganisha jiji la Ocean City, jiji la maraha na ambalo limechongoka kuingia baharini mithili ya Kigamboni. Urefu wa daraja hili ni takribani mara tatu ya eneo letu la kivukio cha magagoni. Inshallah pengine Waziri mpya atafanya kweli.
No comments:
Post a Comment