Hii ni Ocean City wakati wa Sikukuu ya X-mas kulikua hakutamaniki barafu ya kufa mtu,mji ulikua mweupe wakaazi hapo wamezoea kuona mchanga lakini siku hii walikua wanaona snow kila kona(picha zote kwa hisani ya Colonel Emmanuel Maganga)
Baadhi ya taswira katika jiji la Ocean City na vitongoji vyake, ndani ya Maryland.
No comments:
Post a Comment