Maelfu ya wakazi wa jiji la Dar es salaam, jioni hii wameshiriki katika maziko ya mwanamuziki maarufu nchini, Dk.Remmy Ongala aliyefariki mapema wiki hii. Ongala amezikwa katika makaburi ya Sinza, ambayo yapo jirani kabisa na nyumbani kwake.
mmoja wa watoto wa marehemu, Amani Ongala, ambaye ni mlemavu, akimuaga baba yake akiwa kwenye jeneza nyumbani huku akibebwa kwenye baiskeli yake ya miguu mitatu
PICHA: Mussa Mateja/GPL
2 comments:
God rest his soul paradise in eternal peace
God ret his soul eternally in paradise
Post a Comment