Thursday, December 16, 2010

MAELFU WAMZIKA DK REMMY JIONI HII

Maelfu ya wakazi wa jiji la Dar es salaam, jioni hii wameshiriki katika maziko ya mwanamuziki maarufu nchini, Dk.Remmy Ongala aliyefariki mapema wiki hii. Ongala amezikwa katika makaburi ya Sinza, ambayo yapo jirani kabisa na nyumbani kwake.
...wakazi wa Dar, wakishirikiana na wanafamilia kubeba jeneza la marehemu..picha ya kumbukumbu
umati wa watu ukiwa makaburini
mjane wa marehemu akiweka mchanga kaburini
mmoja wa watoto wa kike wa marehemu akimzika baba yake
mmoja wa watoto wa marehemu, Amani Ongala, ambaye ni mlemavu, akimuaga baba yake akiwa kwenye jeneza nyumbani huku akibebwa kwenye baiskeli yake ya miguu mitatu
...waombolezaji wakiondoa ubao kaburini tayari kwa kumwagwa zege
...afande huyu naye alikuwa miongoni mwa marafiki wa Dk remmy waliohudhuria maziko yake
...wakazi wa Dar wa mataifa mbalimbali walihudhuria maziko hayo
...sehemu ya vijana waliojitokeza kwenye maziko jioni hii wakiwa makaburini.

PICHA: Mussa Mateja/GPL

2 comments:

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake