ANGALIA LIVE NEWS

Monday, December 20, 2010

MSIBA MKUBWA TMK DJ MKETO AFARIKI DUNIA.

kijana wetu mpendwa ambaye alikuwa ni DJ maarafu hapa TMK,ILALA na KINONDONI pia Dj wa miondoko ya rusha roho au taarabu alikuwa akijulikana sana ktk wilaya zote hapa DSM alifariki leo 19/12/2010 kwa jali ya pikipiki na mazishi yatakuwa kesho 20/12/2010 nyumbani kwa TMK changombe nyumba namba-1 MUNGU AIWEKE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI AMINA.

No comments: