ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, December 11, 2010

Sherehe za Uhuru Durham,NC


Mwenyekiti wa jumuiya wa Watanzania Nasoro Basalama(kati) akiongea na wanajumuia hapo Durham,NC katika kuadhimisha miaka 49 ya Uhuru kushoto ni Brema Limo na kulia ni David Mushi
.kwa picha zaidi Bofya Read More

No comments: