ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, December 12, 2010

STARS INAONGOZA KWA BAO 1-0 ZIDI YA IVORY COST


Mpaka sasa ni dakika ya 43 ya kipindi cha kwanza Kilimanjaro Stars wanaongoza kwa bao moja lililofungwa na Shadrack Nsajigwa kwa mkwaju wa penati mnamo dakika ya 42 ya mchezo!!!!!

No comments: