ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, December 12, 2010

A TASTE OF AFRICA

Kati ni Mh Mama Munanka ambae alikua mgeni rasmi Jumapili December 12,2010 kwenye a taste of Africa iliyofanyikia Universalist National Memorial Church 1810 16th St NW,Washington,DC na kushoto ni Mama Kimolo,Rais wa Jambo Africa Child Hope
Mh:Mama Munanka akisikiliza jambo
Rais wa Jambo Africa Child Hope,mama Kimolo akielezea shughuli za Organisation yake inavyosaidia kusomesha watoto yatima Tanzania .
Mh:Mama Munanka nae alisema machache kuhusiana na Jambo Africa Child Hope na kuwapongeza kwa kazi nzuri wanyofanya ya kusaidia Elimu kwa watoto yatima Tanzania.
Hawa ni watoto wakielezea hali halisi ilivyo kwa watoto yatima Africa Mashariki.
kwa picha zaidi Bofya Read More
Picha zaidi na Video zinakuja.

No comments: