ANGALIA LIVE NEWS

Friday, December 10, 2010

Image
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Shamsi Vuai Nahodha (kushoto) akijadili jambo na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Saidi Mwema wakati wa ufunguzi wa mkutano wa kanda wa kupinga vitendo vya uharamia, Dar es Salaam. (Picha na Hassan Mndeme wa Jeshi la Polisi)

No comments: