Kuna mdau ametutumia hii picha na ameahidi zawadi nono kwa yeyote atakaetoa maelezo yanayowiana na picha hi yaani hapa ni Wapi katika eneo unakoishi au eneo ulilokwisha ishi...
ANGALIA LIVE NEWS
Tuesday, August 31, 2010
Balozi Wetu Mpya Atinga Washington,DC
Juu na Chini ni Balozi wetu Mpya Nchini Marekani, Mh:Mwanaidi S.Maajar akisalimiana na wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania mjini Washington,DC mara tu alipowasili Leo Aug 31
Mama Munanka(kulia) akimuelekeza jambo Mh:Balozi Maajar
Uso wa kupachikwa waonekana

Oscar na mmoja wa madaktari wake
Mhispania mmoja aliyepachikwa viungo vya uso mzima wa mtu mwengine uliofanyika kwa mara ya kwanza duniani ameonyesha uso wake ulivyo kwa sasa hadharani mbele ya televisheni.
Mtu huyo mwenye umri wa miaka 31 ameishukuru familia iliyomfadhili kwa kutoa viungo hivyo na wataalamu waliompa uso mpya mwezi Machi katika hospitali ya chuo cha Vall d'Hebron, Barcelona.
Kupigwa risasi kwa bahati mbaya kwa mtu huyo kulimaanisha kuwa ngozi yake ya uso na misuli-ikiwemo ya pua na midomo- kulitakiwa kubadilishwa upya.
Madaktari wamesema Mhispania huyo anaweza kutarajia hisia zake za uso kurejea kwa asilimia 90.
Baada ya kupata ajali miaka mitano iliyopita mtu huyo alikosa uwezo wa kupumua, kumeza au hata kuzungumza vizuri.
Sasa mtu huyo, anayetambulika tu kama Oscar, bado anahangaika kuzungumza kwa umakini na atahitaji miezi kadhaa ya kufanyiwa matibabu ya mwili.
Alisema katika mkutano na waandishi wa habari: " Marafiki zangu, nataka kuwashukuru wasimamizi wa hospitali, wote walionipa matibabu, familia iliyonifadhili na zaidi ya wote familia yangu inayonisaidia siku hizi."
Iliamuliwa uso wa Oscar ubadilishwe upya baada ya upasuaji huo kufanyika mara tisa bila mafanikio.
Kundi la wataalamu 30 lilifanya upasuaji huo uliodumu kwa saa 24 tarehe 20 Machi huko Barcelona.
Ukiongozwa na Dr JP Barret, timu hiyo imerekebisha misuli, pua, midomo, taya, paa la kinywa, meno yote, kitefute (cheek bones), na utaya kwa njia ya upasuaji.
Ni upasuaji wa mwanzo wa uso mzima kufanyika duniani, kwani nyengine 10 zilizofanyika hapo awali zilikuwa sehemu tu ya uso.
Mafanikio ya mwanzo ya upachikaji wa viungo vya uso kwa mtu mwengine ulifanyika nchini Ufaransa mwaka 2005 kwa Isabelle Dinoire, mwanamke wa umri wa miaka 38 ambaye aliumizwa vibaya na mbwa wake
UCHAWI JANGWANI
Hofu kubwa bado inazidi kutawala kwa wananchi kuhusu kuishiwa nguvu kwa Rais Jayaka Kikwete na kusitisha hotuba yake katika Viwanja vya Jangwani wiki iliyopita licha ya kutolewa ufafanuzi kuwa kiongozi huyo alipatwa na janga hilo kutokana na kupungua kwa sukari mwilini.
Baadhi ya wananchi waliozungumza na gazeti hili walihoji walipo watu waliochukuliwa na vyombo vya usalama mara baada ya tukio hilo huku wengine wakilihusisha tukio hilo na imani za kishirikina hasa baada ya Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, (Chadema) Bob Makani naye kuishiwa nguvu wakati wa uzinduzi wa kampeni za chama chake katika viwanja hivyo Jumapili iliyopita..
Asilimia kubwa ya watu waliohudhulia katika mikutano hiyo ya uzinduzi wa kampeni wa vyama vyote viwili kwa siku tofauti, wamewataka viongozi wa dini kuiombea nchi ili matukio kama hayo yasitokee tena.
Katika tukio la hivi karibuni lililompata Rais Kikwete, watu wengi walipata simanzi ambapo baadhi yao waliangua vilio na wengine kuzimia na kusababisha viwanja hivyo kugubikwa na huzuni.
Habari zaidi katika viwanja hivyo zilidai kwamba mzee huyo alionekana akitoa huduma hiyo baadaye baadhi ya wananchi walimgeukia na kuanza kumshambulia kwa maneno huku wakimrushia vumbi wakimtuhumu kwamba ni mganga wa kienyeji na kumhusisha na tukio la siku hiyo.
Taarifa zaidi zinasema kwamba wananchi hao waliendelea kumfanyia vurugu mzee huyo hivyo kuhatarisha hali ya amani, kitendo kilichowafanya askari polisi kuingilia kati kwa kumuondoa maeneo hayo kwa usalama wake na kumkimbiza kituo kidogo cha polisi.
Habari kutoka ndani ya Jeshi la polisi zinasema kuwa baadhi ya polisi waliomuokoa walimhoji kisa cha wananchi kumhusisha na tukio la siku hiyo na isiwe mtu mwingine akasema alishangazwa sana na jambo hilo ambalo halijawahi kumtokea katika maisha yake.
Habari zaidi zinadai kuwa mzee huyo wakati wa mahojiano hayo alisema kwamba alitokea wilayani Bagamoyo kuja kusikiliza hotuba ya Rais Kikwete lakini alishangaa kuona kundi la watu likimgeukia na kumuona kama alikuwa chanzo cha yote yaliyotokea.
Taarifa zaidi zinasema kwamba mzee huyo ni mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi na baada ya kuhojiwa kituoni hakurudi katika viwanja hivyo bali alielekea Bagamoyo kutokana na ushauri aliopewa na polisi.
Aidha, katika viwanja hivyo siku hiyo CCM ilipokuwa ikizindua kampeni zake, mtu mmoja naye alinusurika kupigwa baada ya kuonekana akichoma udi, hali iliyowafanya baadhi ya watu kuhisi kuwa alikuwa akifanya mambo ya kishirikina ambapo vyombo vya usalama vilimuokoa kwa kumtoa eneo hilo.
“Hapa hatukubali kuna mchezo unafanyika wa kishirikina, hatukubali huu ni mchezo mchafu mbona mheshimiwa amekuwa akihutubia mikutano mbalimbali mikubwa tena kwa muda mrefu, iweje wa kampeni ya kinyang’anyiro cha Uraisi ndiyo amekua akifanyiwa haya? Inawezekana kuna vitu vinachimbiwa usiku katika viwanja hivi,” alihoji mkazi mmoja wa Magomeni aliyejitambulisha kwa jina la Ally Juma.
Licha ya Katibu Mkuu wa CCM, Yusuf Makamba kuwatuliza wakereketwa wa chama hicho kuhusiana na hali ya mgombea wao kuwa igeuka kutokana na swaumu na angerejea muda mfupi na kuendelea na hotuba yake, wananchi hao waling’ang’ania kuwa kulikuwa na mkono wa mtu .
Baadaye Mratibu wa Kampeni za Urais wa CCM, Abdulrahman Kinana alitoa tamko kuwa Rais Kikwete hana tatizo zito na kwamba hali ile ilitokana na swaumu kwa kuwa sukari ilishuka lakini baadhi ya watu waliopiga simu katika chumba chetu cha habari walitaka kujua alipo mzee aliyekuwa amechukuliwa na polisi siku hiyo.
Waandishi wetu walimtafuta Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Ilala, Foustine Shilogile na alipohojiwa kuhusiana na tukio hilo alikiri jeshi lake kumuokoa mzee huyo na kufafanua kuwa wananchi walimtuhumu na kumhusisha na vitendo vya kishirikina na kuanza kumletea vurugu.
Aidha, Shilogile alisema kuwa baada ya kumtoa mzee huyo na kumpeleka katika kituo cha polisi kuhojiwa ilibainika ya kwamba hakukuwa na sababu ya kuhusishwa na masuala ya uchawi kwani ni mtu mwema na walimruhusu kuondoka baada ya kuhojiwa na kueleza kuwa alitokea Bagamoyo.
“Nichukue nafasi hii kuwaonya wananchi kutochukua sheria mkononi baada ya kumhisi mtu kufanya jambo kwani kunaweza kusababisha vurugu na kuvunjika kwa amani na badala yake watumie jeshi la polisi,” alisema Kamanda Shilogile.
Aidha, katika hali ya kushangaza, Mwenyekiti mstaafu wa Chadema, Bob Makini naye alipatwa mkasa wa kuishiwa nguvu siku ya uzinduzi wa kampeni za chama hicho Jumapili iliyopita.
Licha ya kada wa chama hicho, Mabere Nyaucho Marando kufafanua kuwa Makani aliishiwa nguvu kutokana na umri mkubwa wa miaka 85, baadhi ya wananchi walisema kuna haja ya kufanyika maombi kuombea viwanja hivyo.
“Kuombea viwanja hivi siyo lazima kuwa kuna ushirikina, lakini inawezekana kuna pepo wachafu ambao wanawapata viongozi. Mara kwa mara baadhi ya vikundi vya dini vinapofanya mkutano hapa tunashuhudia watu wakianguka, wale ni mapepo, hivyo paombewe,” alisema Jully Katua alipozungumza na mwandishi wetu siku Chadema ilipofanya uzinduzi wa kampeni.
Hata hivyo, Chama ch Wananchi (CUF), tofauti na CCM na Chadema, wao walizindulia kampeni zao katika viwanja vya Kidongo Chekundu ambapo watu wengi walihudhuria kwa lengo la kusikiliza sera za chama hicho.
CHANZO:GLOBAL PUBLISHERS
Baadhi ya wananchi waliozungumza na gazeti hili walihoji walipo watu waliochukuliwa na vyombo vya usalama mara baada ya tukio hilo huku wengine wakilihusisha tukio hilo na imani za kishirikina hasa baada ya Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, (Chadema) Bob Makani naye kuishiwa nguvu wakati wa uzinduzi wa kampeni za chama chake katika viwanja hivyo Jumapili iliyopita..
Asilimia kubwa ya watu waliohudhulia katika mikutano hiyo ya uzinduzi wa kampeni wa vyama vyote viwili kwa siku tofauti, wamewataka viongozi wa dini kuiombea nchi ili matukio kama hayo yasitokee tena.
Katika tukio la hivi karibuni lililompata Rais Kikwete, watu wengi walipata simanzi ambapo baadhi yao waliangua vilio na wengine kuzimia na kusababisha viwanja hivyo kugubikwa na huzuni.
Askari polisi wakiwa wamemuweka chini ya ulinzi mzee aliyeponea chupuchupu kuuawa na wananchi wakimtuhumu ni mganga wa jadi katika mkutano wa CCM uliofanyika hivi karibuni katika viwanja vya Jangwani, jijini Dar es Salaam.
Katika hali isiyo ya kawaida, mzee mmoja ambaye hakuweza kutambulika jina lake aliyedaiwa kutokea Wilaya ya Bagamoyo naye alifika katika viwanja hivyo kusikiliza hotuba ya Rais Kikwete lakini ilipotokea hali ya mchafuko alionekana mwenye huruma, alijitolea kutoa msaada kwa kumpepea mmoja wa waliozimia kwa kutumia kitambaa cheusi kwa nia nzuri tu ya kumfanya azinduke, mara nyingine aliongea na simu. Habari zaidi katika viwanja hivyo zilidai kwamba mzee huyo alionekana akitoa huduma hiyo baadaye baadhi ya wananchi walimgeukia na kuanza kumshambulia kwa maneno huku wakimrushia vumbi wakimtuhumu kwamba ni mganga wa kienyeji na kumhusisha na tukio la siku hiyo.
Taarifa zaidi zinasema kwamba wananchi hao waliendelea kumfanyia vurugu mzee huyo hivyo kuhatarisha hali ya amani, kitendo kilichowafanya askari polisi kuingilia kati kwa kumuondoa maeneo hayo kwa usalama wake na kumkimbiza kituo kidogo cha polisi.
Habari kutoka ndani ya Jeshi la polisi zinasema kuwa baadhi ya polisi waliomuokoa walimhoji kisa cha wananchi kumhusisha na tukio la siku hiyo na isiwe mtu mwingine akasema alishangazwa sana na jambo hilo ambalo halijawahi kumtokea katika maisha yake.
Habari zaidi zinadai kuwa mzee huyo wakati wa mahojiano hayo alisema kwamba alitokea wilayani Bagamoyo kuja kusikiliza hotuba ya Rais Kikwete lakini alishangaa kuona kundi la watu likimgeukia na kumuona kama alikuwa chanzo cha yote yaliyotokea.
Taarifa zaidi zinasema kwamba mzee huyo ni mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi na baada ya kuhojiwa kituoni hakurudi katika viwanja hivyo bali alielekea Bagamoyo kutokana na ushauri aliopewa na polisi.
Aidha, katika viwanja hivyo siku hiyo CCM ilipokuwa ikizindua kampeni zake, mtu mmoja naye alinusurika kupigwa baada ya kuonekana akichoma udi, hali iliyowafanya baadhi ya watu kuhisi kuwa alikuwa akifanya mambo ya kishirikina ambapo vyombo vya usalama vilimuokoa kwa kumtoa eneo hilo.
“Hapa hatukubali kuna mchezo unafanyika wa kishirikina, hatukubali huu ni mchezo mchafu mbona mheshimiwa amekuwa akihutubia mikutano mbalimbali mikubwa tena kwa muda mrefu, iweje wa kampeni ya kinyang’anyiro cha Uraisi ndiyo amekua akifanyiwa haya? Inawezekana kuna vitu vinachimbiwa usiku katika viwanja hivi,” alihoji mkazi mmoja wa Magomeni aliyejitambulisha kwa jina la Ally Juma.
Licha ya Katibu Mkuu wa CCM, Yusuf Makamba kuwatuliza wakereketwa wa chama hicho kuhusiana na hali ya mgombea wao kuwa igeuka kutokana na swaumu na angerejea muda mfupi na kuendelea na hotuba yake, wananchi hao waling’ang’ania kuwa kulikuwa na mkono wa mtu .
Baadaye Mratibu wa Kampeni za Urais wa CCM, Abdulrahman Kinana alitoa tamko kuwa Rais Kikwete hana tatizo zito na kwamba hali ile ilitokana na swaumu kwa kuwa sukari ilishuka lakini baadhi ya watu waliopiga simu katika chumba chetu cha habari walitaka kujua alipo mzee aliyekuwa amechukuliwa na polisi siku hiyo.
Waandishi wetu walimtafuta Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Ilala, Foustine Shilogile na alipohojiwa kuhusiana na tukio hilo alikiri jeshi lake kumuokoa mzee huyo na kufafanua kuwa wananchi walimtuhumu na kumhusisha na vitendo vya kishirikina na kuanza kumletea vurugu.
Aidha, Shilogile alisema kuwa baada ya kumtoa mzee huyo na kumpeleka katika kituo cha polisi kuhojiwa ilibainika ya kwamba hakukuwa na sababu ya kuhusishwa na masuala ya uchawi kwani ni mtu mwema na walimruhusu kuondoka baada ya kuhojiwa na kueleza kuwa alitokea Bagamoyo.
“Nichukue nafasi hii kuwaonya wananchi kutochukua sheria mkononi baada ya kumhisi mtu kufanya jambo kwani kunaweza kusababisha vurugu na kuvunjika kwa amani na badala yake watumie jeshi la polisi,” alisema Kamanda Shilogile.
Aidha, katika hali ya kushangaza, Mwenyekiti mstaafu wa Chadema, Bob Makini naye alipatwa mkasa wa kuishiwa nguvu siku ya uzinduzi wa kampeni za chama hicho Jumapili iliyopita.
Licha ya kada wa chama hicho, Mabere Nyaucho Marando kufafanua kuwa Makani aliishiwa nguvu kutokana na umri mkubwa wa miaka 85, baadhi ya wananchi walisema kuna haja ya kufanyika maombi kuombea viwanja hivyo.
“Kuombea viwanja hivi siyo lazima kuwa kuna ushirikina, lakini inawezekana kuna pepo wachafu ambao wanawapata viongozi. Mara kwa mara baadhi ya vikundi vya dini vinapofanya mkutano hapa tunashuhudia watu wakianguka, wale ni mapepo, hivyo paombewe,” alisema Jully Katua alipozungumza na mwandishi wetu siku Chadema ilipofanya uzinduzi wa kampeni.
Hata hivyo, Chama ch Wananchi (CUF), tofauti na CCM na Chadema, wao walizindulia kampeni zao katika viwanja vya Kidongo Chekundu ambapo watu wengi walihudhuria kwa lengo la kusikiliza sera za chama hicho.
CHANZO:GLOBAL PUBLISHERS
Tendwa atabiri viti 100 vya ubunge kwenda upinzani

Msajili wa vyama vya siasa John Tendwa akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana kuhusu ofisi yake kupokea rasmi malalamiko ya chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema yanayodai mgombea urais kupitia CCM kukiuka sheria ya ghalama za uchaguzi . Picha na Said Powa
WAKATI joto la uchaguzi likizidi kupanda, Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tenda ametabiri kuwa vya vya upinzani vinaweza kupata viti 80 hadi 100 kwenye Bunge la Jamhuri ya Muungano kama watacheza karata zao vizuri. Msajili ametoa kauli hiyo wakati upinzani ukionekana kuzidi kukua baada ya wabunge kadhaa wa chama tawala kuhamia vyama vya upinzani kutokana na kutokubaliana na mchakato wa kura za maoni na matokeo yake, huku baadhi ya vyama vikijiimarisha kwenye majimbo kwa kuweka wanachama wenye nguvu, wakiwemo viongozi wao wakuu.
Wanachama wengi walioihama CCM na kuhamia upinzani wamesimamishwa kwenye majimbo waliyokuwa wakiyashikilia zamani kupambana na chama tawala, wakati Chadema na TLP zikisimamisha wenyeviti wao kugombea ubunge.
Akizungumza na Mwananchi ofisini kwake jijini Dar es Salaam jana kuhusu mwelekeo wa uchaguzi huo, Tendwa alisema mtazamo wake unatokana na sababu kuu nne ambazo anaamini zitaongeza idadi ya wapinzani bungeni kama wakicheza vizuri karata zao.
"Wapinzani wanaweza kupata viti kati ya 80 hadi 100 kama wataweza kujipanga vema. Temperature (joto) ya kisiasa iko juu sana kwa sasa," alisema msajili huyo.FULL STORY
Monday, August 30, 2010
BALOZI WA MAREKANI ATEMBELEA STUDIO ZA ZENJI FM ZANZIBAR
Balozi wa Marekani Nchini pamoja na maafisa wa ubalozi wakiwa ndani ya Studio za Zenji FM
Mtangazaji wa Zenji Fm Aziza Wazir akifanya mahojiano na Balozi wa Marekani nchini Tanzania(pichani chini) katika studio za Zenji FM
Balozi wa Marekani nchini Tanzania (kushoto) akifanya mahojiano na Zenji FM
BALOZI WA MAREKANI ATEMBELEA STUDIO ZA ZENJI FM ZANZIBAR
Serikali ya Marekani imesema wananchi wa Zanzibar wanapaswa kushikamana katika kuijenga upya nchi yao baada ya kukubali kuundwa serikali ya umoja wa kitaifa kupitia kura ya maoni.
Akizungumza na Zenji fm Radio wiki iliyopita, balozi wa Marekani nchini Tanzania Alfonso Lenhert’s amesema hatua hiyo iliyochukuliwa na wananchi wa Zanzibar itasaidia sana kudumisha uhusiano wa nchi mbili hizo.
Amesema azma ya Marekani ni kuendelea kuisaidia Zanziar katika miradi ya maendeleo ambayo nchi hiyo imekuwa ikitoa misaada yake kama vile mradi wa umeme unaofadhiliwa na shirika la Millenium Challenge.
Aidha balozi Alfonso amesema Marekani inatarajiwa kuisaidia Zanzibar kutekeleza mradi mpya wa karne ya 21 wa elimu ya msingi na mafunzo ya amali utakaozinduliwa hivi karibuni.
Amesema mradi huo utawasaidia wanafunzi kujua na kutumia kompyuta wakiwa katika skuli za msingi, kunyanyua somo la hesabati pamoja na utowaji wa mafunzo kwa walimu wa skuli za msingi.
Marekani pia imetoa misaada kwa Zanzibar katika sekta ya afya ukiwemo mradi wa kukataa malaria, kukabiliana na tatizo la ukimwi na kifua kikuu, utowaji wa vitabu vya sayansi kwa skuli za sekondari na maeneo mengine ya kiuchumi na kijamiiKufuatia kura ya maoni iliyopigwa na wanachi wa Zanzibar iliykubali kuundwa serikali ya umoja wa kitaifa kwa zaidi ya asilimia 60 nchi nyingi za wahisani na mashirika ya kimataifa yameipongeza Zanzibar kwa hatua yake hiyo.

Bingwa wa danadana za Vichwa kwa Wabongo Ughaibuni

Yahaya Kheri ndie anae shikiria rekodi ya danadana za vichwa Ughaibuni anauwezo wa kupiga danadana na kuugandisha mpira kichwani kwa takribani dakika 30
LADY JD NDANI YA NEW YORK

Lady JD akiwa mitaa ya NY,Jumapili Aug 29 akipata U-Kodak Moment na Ebra Nyagaly

ONE LOVE LABOR DAY KICKOFF FRI SEPT 3

ONLY PARTY TILL 6 AM | EXTREME SOUND & LIGHTS | PROFFESIONAL BARTENDING | LIVE DJs |FOOD | NEW DÉCOR |
LOOKING FOR FUN IN THE CITY ON LABOR DAY WEEKEND AND DON'T KNOW WHERE TO GO...
IT'S ALL ABOUT HAVING GOOD TIME..WE KNOW YOU WANT TO PARTY LIKE A DISCO STAR,
THATS WHY IT'S ALL ABOUT YOU HAVING THE MOST ENJOYABLE EXPERIENCE
SO RIGHT NOW WE ARE TAKING OVER DMV WITH A BLAST..
COME ON DOWN AND CHECK IT OUT THIS FRIDAY SEPT 3
ONE LOVE LABOR DAY KICKOFF @ MIRAGE HALL IT’S OFFICIAL
THE EAST AFRICANS IN WASHINGTON DC (DMV)
Wakishirikiana na All African Promoters
Presenting-A whole new Level/Class of Entertainment
* DAY 1 *
FRIDAY SEP 3 from 9:30pm-6:00am
THE BATTLE OF THE SEXES~Bring Your SWAGGER
+THE CLASH OF THE BEST DJs - Kenyan DJs Vs TZ DJs+UG(Entertainment)
@ MIRAGE HALL
1401 University Blvd E
Hyattsville, MD 20783
FOOD AVAILABLE ALL NITE
* DAY 2 *
SATURDAY SEP 4 from 1pm-7pm
* DAY TIME EVENTS*soccer tournament,Stars,Bongo united,Kenya(NJ),Kenya(DC),MT.Zion plus Jamhuri(GA)
@ 4704 Kalmia Rd,
Washington,DC
*NITE EVENT*
THERE AFTER from 9:00pm-6:00am
*THE SIGNATURE * THE FIRST OF A KIND ALL AFRICAN PARTY
THE LUXURIOUS " LOVE NITE CLUB"
1350 OKIE STREET,NE
WASHINGTON,DC
*DAY 3 *
SUNDAY SEP 5 from 3:00pm-8:00pm
*DAY EVENTS*
BBQ/MINGLING/FUN FUN FUN plus SIMBA VS YANGA,& BASKETBALL-KE vs TZ
@ Meadowbrook park,
7901 Meadowbrook Lane
Chevy Chase,MD
* NITE EVENT*
THERE AFTER from 9:00pm-5:00am
*THE ALL AFRICAN AFTERPARTY(FAREWELL BASH)
@ THE BRAND NEW MILLENIUM CLUB
1511 University Blvd E
Hyattsville, MD 20783
MONDAY SEP 6 from 1:00 pm-6:00pm
DC CAPITAL TOUR
MORE INFOS CALL - 301 661 6207 / 240 595 9874 / 240 605 1870

Paris Hilton -- My Girlfriend's Coke
Paris Hilton is telling her friends the cocaine Las Vegas cops found in her purse was not hers -- it was probably her girlfriend's.

Paris' close friends are telling TMZ ... Hilton now says one of her friends recently borrowed the purse in question and "probably" put cocaine inside. Paris says she got the bag back but never checked the contents.
It's slightly different from the "It's-not-my-purse" defense, but it's the same theme.
Paris is telling friends, "I had no idea the cocaine was there. I swear on my life."
According to Hilton, she was eating sushi at the Wynn hotel with boyfriend Cy Waits, sipping a little wine. Paris says she was tired and Cy offered to drive her home and then return to the hotel to work.
Paris is telling friends, "It could be a setup. Everyone knows how against cocaine I am."
And there's this ... Paris is saying she believes the cops who stopped the car were "star-struck and blew the whole thing way out of proportion."

Bora uwe mpweke, ni mateso kuwa na mpenzi asiyejua maana!

Ile dhana tu ya kuachwa ndiyo hutesa watu. Kuna dhana kwamba anayeacha mara nyingi hujiona mshindi dhidi ya aliyemuacha. Na hiyo ndiyo sababu ya wengi kuumia wanapofungiwa milango ya kukatisha uhusiano ambao pengine hata hawakuwa na masilahi nao.
Mathalan, mwanamke anaweza kuwa havutiwi na mtu aliyenaye kwa maana moja au nyingine. Ilitokea kuwa naye kama ajali tu! Kutokana na kutokuwa na hisia naye, hakuona tatizo kumsaliti kwa mwanaume mwingine, lakini huwezi kuamini siku akiambiwa basi, atalia machozi na kuomba msamaha.
Si kwamba atalia kwa sababu ya mapenzi ya dhati aliyonayo kwa mwenzi wake, kwamba inamuuma kuachana naye, ila kinachomtesa ni zile hisia za kuachwa. Na ingetokea kuwa yeye ndiye anayeamua kuacha, tafsiri ingekuwa kinyume chake.
Macho yangekuwa makavu na ikiwezekana angekwenda kusimulia kwa marafiki: “Aah, James nimempiga chini kanililia huyo!” Anafurahi dada yetu na wenzake watampongeza kwa kugongesheana viganja!
Tatizo kubwa ambalo linawagharimu wengi ni kuwa mapenzi yanabebwa kama aina ya mchezo wa kuigiza. Watu wanaingia kwenye uhusiano kwa kujaribu. Kuna waliofunga ndoa si kwa kuchaguana, isipokuwa walidanganyana kwa hisia za “mapozeo” mwisho wakazoeana, ikawa ngumu kuachana.
Wapo wanaoingia kwenye ndoa si kwa kuvutwa na nyoyo zao, ila wanakabiliwa na fikra za “waoaji wenyewe hawapo, acha nimkubali huyu huyu!” Mapenzi ni nguzo maalum mno kwa maisha ya binadamu, kwahiyo ni vema yabebe heshima inayostahili.
Ogopa sana mtu anayekuwa na wewe kwa sababu haoni chaguo lake. Adhabu yako ni kubwa mbele ya safari ingawa unaweza kujiona upo kwenye bwawa la asali mwanzoni. Kiama chako ni pale atakapomuona anayedhani ndiye sahihi kwake. Utasalitiwa upende usipende!
Nimekuwa nikisisitiza hili kuwa ni bora kuacha kumsogelea kabisa kuliko kumdanganya unampenda wakati unamcheza shere. Ukatili wako ni mkubwa kwa maana yeye anaweza kudhani amefika na akatuliza ‘mizuka’ yote, hivyo akapandikiza matarajio juu yako.
Siku atakapojua haupo naye atajisikiaje? Unaweza kuua bila kukusudia kwa sababu binadamu tumeumbwa na roho tofauti. Utamuona aliyekunywa sumu kwa mapenzi ni mjinga kwa sababu hayajakufika. Kuna waliosema wao ni ngangari lakini ukurasa ulipofunguka kwao, waliona dunia chungu.
USIJARIBU MAPENZI
Dhana ya mapenzi duniani kote inaelekeza kwamba asili yake ni moyoni. Hii ina mantiki kuwa ndani ya kila mtu kuna vitu ambavyo anahisi kuhitaji mwenzi wake awe navyo. Sura, umbo na tabia.
Hata hivyo, kuna nakshi nyingi ambazo si za lazima lakini hutokea kuwavutia watu na kufunika hata yale ya msingi. USHAURI: Zingatia sifa muhimu na kuachana na vionjo vya ziada (accessories).
Kuna mwanamke yeye huvutiwa na mwanaume mwenye kucha ndefu. Ukimuuliza, anakwambia basi tu napenda. Mwingine anaweza kusema: “Nikiwa naye napenda kuichezea, naskia raha!” Yupo atakayekueleza: “Ile kucha yake akinipitishia mgongoni au shingoni kwangu taabani!”
Ni vionjo tu vya ziada! Kuna wasiotaka mambo mengi ila wakikutana na watu ambao wananukia ni balaa! Wapo watakaosema wanataka wachangamfu, ingawa mapepe yakizidi nayo ni tatizo kubwa, ila mwingine atadai anahitaji mpenzi anayejua Kiingereza.
Ipo sifa nyeti kwenye dimbwi la mahaba. Kama karata zako unazicheza vizuri kwa mwandani wako na kuhakikisha kila mnapoachiana anakuwa ameridhika kwa 100% ni turufu ya kulinda penzi lako.
JAMBO MUHIMU KWAKO
Penda kujiona mtu nambari moja kwa ubora kwa sababu Mungu aliona una umuhimu ndiyo maana akakuumba. Linda thamani na heshima yako, usikubali mapenzi yakuondolee nguvu ambayo Mfalme wa Mbingu na Ardhi amekupa.
Ni rahisi kudharauliwa ikiwa utakuwa na mtu ambaye hana mapenzi ya dhati na wewe. Atakusaliti, watu watazungumza pembeni. Atakusema vibaya, ukipita mitaani utaonekana kituko. Mpenzi mwenye uelewa na anayekupenda kwa dhati, atakulinda mahali popote.
Hatokusaliti, ataishi ndani yako. Linalokuuma, litamtesa. Wasiokupenda atawachukia. Marafiki zako atawageuza ndugu. Kinyume chake ni kwamba mwenzi asiyekupenda kwa dhati, si ajabu akashiriki kukumaliza.
Kuna watu hawaoni umuhimu wa hili, mpenzi maana yake ni msiri wa maisha yako. Unapokuwa umelala fofofo hujitambui, ubavuni kwako yupo yeye. Anaweza kukufanya lolote wakati wewe unaogelea ndotoni. Mpende akupendaye, vinginevyo utakumbana na maumivu yafuatayo;
HATOKUSIKILIZA IPASAVYO
Mapenzi ni hisia. Ni rahisi kwako kujua kwamba uliyenaye anakupenda kwa dhati mnapokuwa mnazungumza. Je, anakusikiliza kiasi gani?
Mtu ambaye hana mapenzi na wewe, hata umwambie kwa lugha gani hawezi kukuelewa. Tena inawezekana ulizungumza naye jana kwa herufi kubwa, lakini leo jua limechomoza anarudia yale yale.
Inawezekana ulimuonya kuhusu tabia ambazo zinamfanya heshima yake ipotee. Hakatazwi kuwa na marafiki wa jinsia nyingine, lakini mazoea yake siyo mazuri kiasi kwamba wanaweza kutembea barabarani wameshikana viuno. Ikiwa unamueleza habadiliki, huyo hakupendi.
Hakusikilizi kwa sababu hana hisia na wewe.
Itaendelea wiki ijayo...
Subscribe to:
Posts (Atom)