ANGALIA LIVE NEWS

Monday, January 3, 2011

Image
Aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi wa Rais mstaafu, 1974-1986, Timothy Apiyo, (katikati) akigongesha glasi na rafiki yake, Mustafa Sabodo, (kushoto) na Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu Balozi, Paul Rupia, wakati wa sherehe ya kutimiza miaka 80 tangu kuzaliwa kwake zilizofanyika nyumbani kwake Ukonga Dar es Salaam juzi. (Picha na Yusuf Badi).

No comments: