ANGALIA LIVE NEWS

Friday, January 14, 2011

Baada ya kazi ni menyu na udirinki kidogo!!

Danny Kaswamila akipata ugali na nyama ya mbuzi baada ya kazi mchana kutwa kama alivyokutwa na Vijimambo Millenium leo Ijumaa January 14,2011.Millenium ni Club yenye Mgahawa unaoendeshwa na Wabongo waishio hapa Washington,DC wenye chakula cha nyumbani kwa hiyo unapotembelea Kapitali usisite kupitia hapo add ni 1511 University Blvd,Hyattsville,MD,20783

No comments: