ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, January 13, 2011

FLASH BACK

Hii ni bendi ya Safari Trippers na aliyechuchumaa wa kwanza kushoto(mwenye Saxophone) ni Mohamed Ibuni Saleh,Baba yake Amina Ibuni Mke wake Yahaya Kheri,wanaoishi Washington,DC.kwa sasa Mohamed Ibuni Saleh anaishi Kariakoo na anapiga Piano ana Mke na Watoto watano,Wakiume mmoja na wakike ni wanne akiwemo Amina na Wajukuu na Watukuu

No comments: