***HAPPY NEW YEAR 2011***
Kwa niaba ya Clear Vybz Producton™, dj Rex na mimi tunawatakia Watanzania wote hapo nyumbani na ulimwenguni kote HAPPY AND PROSPEROUS YEAR 2011.
Nikiwa msemaji wa Studio napenda kuchukuwa nafasi hii kuvipongeza vyombo vya habari nchini Tanzania vilivyoweza kufikisha habari zote za uchaguzi mkuu bila ya upendeleo wa chama au vyama vya siasa na kuchagua viongozi wetu kwa njia ya demokrasia kama ilivyokawaida yetu. Hongera Rais Jakaya Kikwete kwa kuchaguliwa tena.
PONGEZI NA SHUKRANI MAALUM ZIENDE KWA BLOG YA JAMII;
“ISSA MICHUZI BLOG”, “VIJIMAMBO BLOG” CALL IT “LUKEMUSICFACTORY BLOG” NA “ HAKI NGOWI” KWA KAZI NZURI WANAYOIFANYA NADHANI KILA MMOJA WETU ANAJUWA.
Watanzania, kitu kinachofurahisha zaidi kuona private Nursery na Primary Schools kama; ELU CHILDREN CARE ya Morogoro INAVYOKUWA BALOZI WA TANZANIA DUNIANI KWA UPANDE WA ELIMU BORA TANZANIA. THANK YOU ELU CHILDREN CARE, KEEP IT UP. WE SALUTE ALL STUDENTS AND STAFF.UNAWEZA KUJifunza ZAIDI KUHUSU SHULE HII KWA KUTEMBELEA WEBSITE YAO; www.elucca.org or http://www.youtube.com/watch? v=c_NoAdFbljY&feature=player_ embedded
Kwa upande wetu, tunawakaribisha watanzania wote waliopo hapa Marekani na Nyumbani kurekodi muziki na Clear Vybz Production, siyo tu Studio ya Waafrika bali ya Wabongo. Kwa wanamuziki wa nyumbani mnaweza kututumia files zenu for mixing and mastering through; studio@clearvybz.com Lets work together and be proud of ourselves.
As always my personal sincere thanks may go to dj Rex, our Studio dependable Producer and Engineer for making Studio and Radio run smoothly. Thanks dj Rex.
Again, HAPPY NEW YEAR 2011 AND THANKS TO EVERYONE.
James, Studio Spokesman.
No comments:
Post a Comment