ANGALIA LIVE NEWS

Friday, January 21, 2011

Kanumba kuwa ndani ya Millenium Club leo Ijumaa,Jan 21,2011

Kanumba The Great
Staa wetu wa Bongo Movie Kanumba atakuwepo ndani ya nyumba Millenium Club,karibu tujumuike nae.
picha chini Kanumba alipotembelea New york city kununua vifaa vya production katika kampuni yake...alitembelea duka moja kubwa na maarufu kwa vifaa vyote vya movie production na sound linaloitwa B&H.Kwa picha zaidi za Kanumba The Great mtembelee kwenye Blog yake

No comments: