
Mh.Mama Munanka(shoto)akimkaribisha Ma Winny Ubalozini Washington,DC,leo Jumanne,Jnuary,18,2011

Mh.Balozi Mwanaidi Sinare Maajar(kulia) akisalimiana na Ma Winny(shoto) aliyesimama kati ni Mh.Mama Munanka yote yalijili leo Ubalozini,Washington,DC,Ma Winny alipokwenda kumzawadia Mh.Balozi Kalenda na Posters zinazotangaza vazi la Khanga.

Mh.Balozi Mwanaidi Maajar(kati) Mh.Mama Munanka(kulia) wakimsikiliza Ma Winny alipokua akieleza jambo kuhusiana na Kalenda na mavazi ya Khanga

Mh.Balozi akisikiliza wakati Mh.Mama Munanka akisisitiza jambo kwa Ma Winny(hayupo pichani)

Mh.Balozi(kulia) wakibadilishana Business cards na Ma Wnny(shoto)

Ma Winny(shoto) akimkabidhi Mh.Balozi Mwanaidi Maajar Kalenda

Mh.Balozi Mwanaidi Maajar akisikiliza maelezo kutoka kwa Ma Winny jinsi gani anavyotangaza vazi la Khanga kwa Mataifa mengine hapa Marekani

Mh.Balozi akionyesha picha ya wakina dada Watanzania waliovaa vazi la Khanga ya moja ya maonyesho ya Ma Winny aliyofanya kwenye siku ya African Day

Ma Winny(shoto) akisikiliza jambo kutoka kwa Mh.Balozi Mwanaidi Sinare Maajar.

Mh.Balozi Mwanaidi Maajar(kati) akimueleza Ma Winny jinsi gani alivyofurahika na yeye kutangaza vazi la Khanga na kushukuru kwa zawadi ya Kalenda na Posters,kulia ni Mh.Mama Munanka

Juu na chini ni Ma Winny(kulia) akimkabidhi Mh.Balozi Posters za wakina Dada Wavaa Khanga


No comments:
Post a Comment