ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, January 6, 2011

MAELEZO KIDOGO KUTOKANA NA KUCHELEWESHWA KWA MAJI KUINGIA SOKONI

Baada ya kuzindua maji ya LADY JAYDEE kwa mafanikio tulipata wito na maelekezo kutoka kwa TFDA.... Mamlaka ya Chakula na Dawa.
Ya kuwa kuna umuhimu wa kusajili chapa hii mpya kabla haijaendelea kusambazwa zaidi.
Hivyo kama hamtayapata maji huko mtaani, tunawaombeni mvute subira kidogo.

Tunaendelea kukamilisha utaratibu tuliopewa na TFDA na baada ya hapo mzigo mtaupata mtaani.......Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza(picha na maelezo kwa hisani ya http://ladyjaydee.blogspot.com/ )

No comments: