ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, January 6, 2011

                          Msiba DC,Springfield(MA) 
                          na Tanzania
Familia ya Masesa inasikitika kutangaza kifo cha mtoto wao mpendwa Jumbe Masesa(kaka yake Rehema Masesa)
kupeana pole ni desturi yetu,kama utapata muda basi kwa waishio DC msiba upo
2502 Queens Chapel Rd,Apt #303
Hyattsville,MD,

kwa maelezo zaidi piga simu,
202 422 0284,
240 701 2736,
240 723 8617 
Jamila,Muna,
Rehema na Kenyata 

No comments: