ANGALIA LIVE NEWS

Friday, January 14, 2011

Peter Ligate akijaribu kutangaza Bud Light kama alivyodakwa kwenye U-kodak na camera ya Vijimambo hapo Millenium
Kumekucha,Millenium baada ya kazi za mchana kutwa wadau wakipata moja moto moja baridi leo Ijumaa,Jan 14,2011
Anaitwa Princess Pursia mhudumu wa Bar Millenium Club
Promota wa Next Level nae alikuwepo jioni hii Millenium akipata kanywaji ka kumalizia siku.

No comments: