ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, January 4, 2011

TAARIFA ZA MSIBA

Mheshimiwa Salim Juma Othman amefariki jana jioni ya Tanzania- Zanzibar akiwa hospitali. 

Mzee Salim amewacha watoto 6 akiwemo Mke wa Nassoro Basalama anaeishi Durham,NC na wajukuu 5.Ni mmoja wa waasisi wa CCM.Aliwahi kushika nyadhifa mbalimbali,Ofisi yake ya mwisho ilikuwa ni Waziri wa Afya.

Ametumikia Serikali ya Zanzibar kwa miaka zaidi ya 30 na kitu.

No comments: