ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, January 18, 2011

TANGAZO LA KHITMA 
MAREHEMU SALIM JUMA OTHMAN
Kwa niaba ya familia yangu napenda kuwatangazia nyote kisomo cha khitma ya Marehemu Salim Juma Othman  (baba mzazi wa Fatma na Masoud, na mkwe wa Nassor Basalama) na Shakir Hamdoun (Kaka wa Saida,na  shemeji wa Al'Ameen Chande),zitakazo fanyika North Carolina. Siku ya Jumamosi Januari 22,2011 saa 11 JioniKatika anuani ifuatayo:

3400 Balfour West,
Durham, NC 27713.
Tunatanguliza shukrani nyote kwa ushirikiano wenu.
Ahsanteni nyote
Nassor A. Basalama,Chairman
Union of Tanzanians North Carolina

No comments: