ANGALIA LIVE NEWS

Friday, January 7, 2011

Wachina wapewa siku 30 waachane na kazi za machinga

Traders in Dar es Salaam, Tanzania
Serikali inakataa Raia wa kigeni kufanya biashara ndogo ndogo kama hii ya mitumba ambayo hufanywa na wazawa wenye mitaji midogo

Wafanyabiashara wa Kichina wamepewa siku 30 kuachana na biashara za machinga wanazoziendesha Dar es Salaam,Serikali imesema,Wachina wapo Nchini kama wawekezaji na si wang'arisha viatu. 

No comments: