ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, January 6, 2011

Waziri Ngeleja Akutana na Waandishi wa Habari na Kuzungumzia Kupanda kwa Bei ya Umeme na Dowans

Waziri wa Nishati na Madini,William Ngeleja (katikati),akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam ,kuhusu kupanda kwa bei ya umeme na kesi ya Kampuni ya Umeme wa Dharula ya Dowans dhidi ya Tanesco.Kushoto ni Katibu Mkuu wa wizara hiyo, David Jairo na Adam Malima ambaye ni Naibu Waziri wa wizara hiyo.Picha na Richard Mwaikenda(PICHA KWA HISANI YA HAKI NGOWI)

No comments: