ANGALIA LIVE NEWS

Monday, February 14, 2011

Happy Birthday

Happy Birthday Valentine Baby Miss Loveness Mamuya,VIJIMAMBO inakutakia maisha marefu na matamu yaliyojaa amani,furaha,upendo na mashikamano

3 comments:

Anonymous said...

dada mzuri umezaliwa siku nzuri sana kumbe ndio maana unamapenzi sana mungu akubariki ubarikiwe najina lako ni nizuri linakufaa sana hongera sana

Anonymous said...

birthday yake ni feb 16th.Happy bday Loveness.wishing you 100 candles to blow.

Anonymous said...

nakutakia siku njema yenye upendo,amani pia umshukuru mungu wako kwa kila jambo.