
Haikua Birthday au kikao fulani ni mtu fulani ameamua kufurahi na kuwapa Lunch ya usiku marafiki zake,Cheesecake Factory,iloyopo White Flint Mall,Rockville,MD

Quize na Ron wakati wa Lunch ya usiku Cheesecake factory

Salma akiwa na Erick wakiperuzi Menyu wajue watakula nini

Miss Temeke na Mohammed na wakitafuta menyu itakayowafaa

Mynah na Ben nao wakitafuta mulo gani utakao wafaa kwenye Lunch hii ya usiku Cheesecake Factory

Bahati na Aunt Wahida nao hawakua mbali na menyu zao

Miss Temeke na Quize wakisikiliza jambo Ron alipokua akiongea

Bahati na Aunt Wahida wakisubili Menyu huku Minah akicheza game kwenye simu yake

Salma na Erick wakiendelea kupata menyu
Kwa picha zaidi Bofya Read More






No comments:
Post a Comment