
Quize na baba mwenye nyumba wake wakipata u-kodak wa pamoja White Flint Mall iliyopo Rockville,Maryland hii ilikua Jumamosi Feb 26,2011

The Boyz nao hawakua mbali kwenye U-kodak wa pamoja kama walivyonaswa na Camera ya Vijimambo

Miss Temeke(shoto) akiwa na shoga yake mkubwa Queze,wakipata U-kodak wa pamoja,White Flint Mall

Myanah Cleo akiwa na Baba mwenye nyumba wake nao hawakua mbali kwenye Camera ya Vijimambo
M

Salma akipata U-kodak na Baba mwenye nyumba wake

Kutoka shoto ni Aunt Wahida,Mynah,Bahati na Quize wakipata U-kodak moment,White Flint Mall

Ni Bahati(shoto) Bi Harusi mtarajiwa akipata U-kodak wa pamoja na Quize

Kutoka shoto ni Mynah Cleo,Bahati Mkama,Quizela Mtagazwa na Aunt Margaret Wahida

ni Bahati(shoto) na Quize wakipata U-kodak wa kumbukumbu
kwa picha zaidi Bofya Read More




















No comments:
Post a Comment