ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, February 16, 2011

MABOMU YALIPUKA TENA GONGOLAMBOTO.

BREAKING NEWS

Habari zilizotufikia hivi punde ni kwamba kuna mabomu yamelipuka mitaa ya Gongolambotu usiku wa leo (wa bongo).

Chanzo cha milipuko hiyo bado hakijajulikana, ila inasadikika kuwa imetokea kwenye ghala mojawapo ya kambi ya jeshi.


Habari zaidi tutawaletea pindi zitakapopatikana.

1 comment:

Anonymous said...

yani ni aibu, leo hii asubuhi naona watu wanahangaika na watoto. nchi yetu sijui kwa nini suala la usalama ni zero. uhai na viungo vya watu vinarudishwaje. stupid!!!!!!!!!!!!!!