TUNAOMBA TUSAIDIANE KUTOA MAONI KUHUSU KATIBA
MPYA YA JUMUIA YA WATANZANIA – DMV .
KWA MCHANGO WENU UTAWEZESHA KULETA MABADILIKO
MAKUBWA KATIKA JAMII YETU HAPA DMV NA STATE NYINGINE NA HATA NJE YA MAREKANI.
NI NINI UTAPENDA KUONA NDANI YA KATIBA? HUU NI WAKATI MUAFAKA WA KILA
MTANZANIA KUTO SAUTI YENYE HOJA NDANI YAKE. ONGEA TUSIKILIZE NA
TUMA MAONI YAKO KWA, Tanzania61@gmail.com
ASANTENI SANA KWA MUDA WENU MNAOJITOLEA KWA JUMUHIA YENU.
Mwenyekiti wa kamati ya Katiba

2 comments:
luka nina maoni ya kuchangia ktk katiba naomba kuuliza, natakiwa kutuma maoni yangu kwahiyo address hapo juu, na pia katiba inatakiwa kutungwa kwa hay maoni/ mchango wetu, au watu watatunga then sisi tutaisoma na kuchangia from there,nieleweshe plz
Ndugu Anonymous,
Nashukuru kwa moyo wako kutaka kusaidia mafanikio ya chama chetu.
Kuhusu wapi pakutuma maoni yako, Ndiyo tumia email address hiyo hapo juu na tutayapata maoni yako na tutayafikisha katika vikao vyetu vya katiba.
Pili, kuhusu namna kaitba itakavyo tungwa ni hivi, Tunakusanya maoni yote ya wanachi/wanachama na wengineo, alafu yanapelekwa kwenye vikao vya tume ya katiba. Maoni yote yatazungumziwa katika vikao hivyo na yatapimwa kwa undani zaidi kuzingatia manufaa ya wanacha wote na maendeleo ya chama.
Na natumaini nimejibu maswali yako yote, na kama bado unamaswali zaidi tafadhali usisite kuwasiliana nasisi.
Aksante
Mwenyekiti wa tume ya Katiba
Post a Comment