Advertisements

Monday, February 21, 2011

MREMO ZAITUNI HUNT AZINDUA NGO ZANZIBAR

Zaituni Hunt
MISS Afrika Australia Zaituni Hunt, akizinduwa NGO yake na kuzungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Hoteli ya Grand Palace Malindi, baada ya kuzinduwa NGO yake na kutowa maelezo ya kazi itakayo fanya kwa jamii Zanzibar.
KATIBU Mtendaji wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Hallii Mirza akimpongeza Mzanzibar Zaitun Hunt anayeishi Nchini Ausrtralia kushindi Taji hilo lililowakutanisha karibu Warembo 400 kuwania taji hilo wanaotoka nchi za Afrika.
MISS Afrika Australia Zaituni Hunt
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Ustawi wa Jamii, Maendeleo ya Vijana, Wanawake na Watoto Rahma Mshangama, akipokea katiba na hati ya utambulisho wa NGO iliyoundwa na ‘Miss Africa Australia’ Zaintun Hunt, itakayoshughulikia vijana na watoto mayatima hapa Zanzibar. Hafla ya uzinduzi wa jumuiya hiyo ilifanyika katika hoteli ya Grand Palace Malindi Zanzibar, kushoto Mama wa Miss Afrika Amina Bilal Pira. (Picha na Zanzibar Cable Television).

No comments: