ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, February 15, 2011

Image
Rais Jakaya Kikwete akimpa pole mtoto Brenda Boniface (4) aliyelazwa katika hospitali ya Shirika la Elimu Kibaha mkoani Pwani baada ya kuzindua jengo la Mama na Mtoto. Kulia ni mama wa mtoto huyo Tiasaeli Palangyo. (Picha na Freddy Maro).

No comments: