ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, February 8, 2011

Image
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa akizungumza na wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam kwenye viwanja vya chuo hicho wakati wakikitoa malalamiko kuhusu kuongezewa fedha za kujikimu kutoka Sh. 5,000 hadi Sh.10,000.(Picha na Fadhili Akida).

No comments: