ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, March 6, 2011

Asia Idarous Khamsin,Atua Kapitali

Mwanamitindo Asia Idarous Khamsin ndio kwanza kaingia toka Bongo lakini ngoma hailali nae alikuwepo,Glenwood,Maryland akifanya vitu vyake
Asia Idarous akionyesha moja ya nguo zake kwa wadau wake wa hapa DC,MD,VA

No comments: