ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, March 5, 2011

Happy Birthday Mpwa

Natoa shukrani kwa Loveness Mamuya kwa keki nzuri ya Beidei ya Mpwa
Mpwa akikata keki yake ya siku ya kuzaliwa
Mpwa akilisha Loveness(Vijimambo Sister)
Muumiza kichwa wa Vijimambo nae alikuwepo kusaidia kuzima mishumaa ya keki ya siku ya kuzaliwa ya Mpwa
Aziz nae alikuwepo kushuhudia keki yaMpwa
Zay Dullah(Vijimambo sister) nae hakua mbali kwenye keki ya Mpwa
Poromota akipata U-kodak na Mpwa
Poromota akiwa na mama mwenye nyumba wake wakipata U-kodak moment na Mpwa
Aziz na Mama mwenye nyumba wake kwenye U-kodak moment
Abdul na Mama mwenye nyumba wake wakipata U-kodak moment
Mpwa anapenda kutoa shukrani kwa wafanyakazi wenzake kwa kumshtukiza na keki ya Birthday asubuhi ya Ijumaa March 4,2011 kusema ukweli nimeguswa sana na mshikamano uliopo kati yetu wafanyakazi wenzangu na naomba hii isiishie kwangu izidi kuwepo miongoni mwetu kwani huu ni upendo na mshikamano ambao nimeshindwa kuvumilia kukaa kimya,nasema asanteni na Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema awazidishie 

No comments: