![]() |
| Kaimu Mnikulu, Kassim Mtawa (katikati) akimkabidhi funguo za pikipiki aina ya TVS zenye thamani ya Sh milioni 9.5 ambazo zimetolewa na Rais Jakaya Kikwete kwa wasanii wa kikundi cha Survival Sisters, Latifa Abdallah (kulia) na Irene Malekele, Ikulu mjini Dar es Salaam. (Picha na Yusuf Badi). |

No comments:
Post a Comment