Mwanamitindo akiwa na vazi la Mustafa Hassanali katika onyesho la Mamma MIA lililofanyika Movenpick Hotel tarehe 4 Machi
Toleo la Mustafa Hassanali lililopamba usiku wa onyesho la Mamma MIA katika viwanja vya hoteli vya Movenpick jijini
Mbunifu wa mavazi nguli nchini Mustafa Hassanali akiwa na toleo lake jipya la kiafrika ndani ya ukumbi wa Movenpick Hotel katika onyesho lake la Mamma
Mamma MIA Mnazi Mmoja 5th Machi, 2011
Historia ya kukumbuka, ambapo mbunifu wa mavazi maarufu nchini, Mustafa Hassanali alipofanya onyesho la wazi l;a Mavazi katika viwanja vya Mnazi Mmoja kwa nia ya kuchangia uzazi salama nchini. Onyesho hilo lililopewa jina la Mamma MIA lilifana kwa kukusanya wadau na wananchi wa kawaida wa kutosha kabisa. Onyesho lilifanyika tarehe 5 Machi.
moja ya vivazi vya Mustafa Hassanali ndani ya viwanja vya wazi vya Mnazi Mmoja katika onyesho kubwa la kuchangia uzazi salama nchini la tarehe 5 Machi
Nguli wa mitindo nchini,Mustafa Hassanali akiongea na wanachi na wapenzi wa mitindo katika viwanja vya Mnazi Mmoja, nuyma ni baadhi ya warembo katika vivazi vya mbunifu huyo
Onyesho la wazi la Mamma MIA lililoandaliwa na mbunifu Mustafa Hassanali lilikusanya watu wa aina katika viwanja vya Mnazi Mmoja jumamosi ya tarehe 5 Machi
No comments:
Post a Comment