ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, March 6, 2011

Mechi ya Simba na Yanga,Kizaa zaa cha refa na mshika kibendera wake

Wachezaji wa Simba wakimzonga refarii wa mchezo huo, Olden Mbaga, baada ya kutaka kuwanyima goli la kusawazisha hata hivyo baadaye alilikubali.
Wachezaji wa Yanga wakimzonga mshika kibendera aliyeanza kulikubali goli la Simba ambalo awali refarii alilikataa.

PICHA ZOTE NA RICHARD BUKOS /GPL

No comments: