ANGALIA LIVE NEWS

Friday, March 18, 2011

Mtoto Hassan afungwa kamba kwa miaka 15.

mama mzazi wa Hassan akimfunga kamba mwanaye ili kumdhibiti.

Hassan akiwa amefungwa kamba nje ya nyumba yao

kijana Hassan akimvuta mkono mbunge wa viti maalumu mkoa wa Tanga Amina Mwindu, wakati muheshimiwa huyo alipokwenda hapo nyumbani kumjulia hali kijana huyo.

Pichas kwa niaba ya jiachie blog.

1 comment:

Anonymous said...

Jamani jamani, ndo utu gani huu jamani? I am outraged!