ANGALIA LIVE NEWS

Monday, March 28, 2011

Image
Rais Jakaya Kikwete akikagua akiba ya chakula katika ghala la Taifa linalohifadhi akiba ya chakula lililopo Chang’ombe mjini Dar es Salaam. Wa pili kulia ni Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula, Charles Walwa, na watatu kulia ni Waziri wa kilimo Chakula na Ushirika Profesa Jumanne Maghembe. (Picha na Freddy Maro).

No comments: