ANGALIA LIVE NEWS

Monday, March 7, 2011

TANGAZO LA MSIBA

Tunasikitika kutangaza kifo cha Major General Said Omar Mwakitosi, kilichotokea Tanzania leo tarehe 7 March 2011, majira ya saa kumi na moja jioni. Marehemu aliugua kwa muda mfupi na ameacha mke na watoto watatu, Maryam (ambaye anaishi Columbus OH, na aliishi Maryland miaka ya nyuma); Yahya na Omari.

Kwa hapa marekani, msiba utakuwa Columbus,OH nyumbani kwa Maryam Mwakitosi; anuani ya Maryam ni;

3145 Shasta Ave
Columbus, OH 43231

Tel: 240-426-5072

Nitawajulisha taarifa zaidi za mipango ya mazishi na msiba mara zitakapopatikana.

Kama desturi yetu, tunaombwa tuwarafiji wafiwa tutakavyoweza.

Asante.

No comments: