Nuru na Said Mwamende wanatoa shukrani za dhati kwa faraja,upendo na mshikamano mliowapa kwa kipindi hiki kigumu cha msiba wa mpendwa Dada yao,kusema ukweli wamemefarijika na hawana cha kuwalipa kitakacholingama na thamani ya upendo wenu,tunasema Asante na Mwenyezi Mungu awazidishie
No comments:
Post a Comment