
Mchungaji Mstaafu Ambilikile Mwasapile akipokea zawadi ya simu ya Mkononi kutoka Airtel, anayemkabidhi ni meneja wa biashara wa Airtel Mkoa wa Arusha, Paschal Bikomagu. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro, Bw Elias Wawa Lali.

Mkuu wa wilaya ya Ngorongoro, Bw Elias Wawa Lali (katikati), Diwani wa Kata ya Samunge, Bw Jackson Sandea (kulia), Meneja Biashara wa Airtel mkoa wa Arusha, Paschal Bikomagu wazindua mnara wa mawasiliano huko Loliondo.
(PICHA KWA HISANI YA GPL)
No comments:
Post a Comment