ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, April 24, 2011

Bongo Flava yapagawisha Usiku wa Vazi la Khanga


 Kijana Joseph akipagawisha kwenye Usiku wa vazi la Khanga,Leominster,MA

Kijana Hadji nae akipagawisha mashabiki wa Leominster,MA kwenye usiku wa Vazi la Khanga na Asya Idarous Khamsin lililotayarishwa na New England Umoja 

2 comments:

Anonymous said...

jamani jd luke tuletee huyu haji aimbe columbus kwenye usiku wa fashion show tutafurahi pia siku hiyo kukiwa na perfomance mbalimbali za kuimba,,,, ni hayo tuu tunasubiri kwa hamu

Anonymous said...

Huyu HAJI ni kiboko nimemshuhudia mjini Leominster MA akifanya vitu vyake Tanzania tuna Watu wenye vipaji msijali Columbus moto utawaka mwaka huu DJ Luke Hongera sana kwa kurudisha MEMORIAL PARTY in Columbus Ohio tuko pamoja nawe Dj Luke...