Mjukuu wa Mpwa,Makene akirekebisha Computer ya Babu yake ndio uzuri wa kuwa na wajukuu mpaka ughaibuni wanasaidia kupunguza gharama za utengenezaji,kama ningekua nimeipeleka kwa wataalumati kwanza nisingeipata leo pili zingenitoka ngawila si mchezo,
Dj Richmaka akirekebisha mitambo tarari kwa kabalee la usiku leo Leominster,MA ambalo litaambatana na maonyesho ya vazi la Khanga na Asya Idarous Khamsin yatakayoenda sambamba na Lunch la usiku.
No comments:
Post a Comment