ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, April 24, 2011

Kwa wakazi wa Massachesetts

Kaka show ilipendeza sana inaonekana nilii-miss. Schedule ya maboksi but it's ok.!Sasa tukitaka kununua tutazipata wapi? Thanx, RJ
**************************************** 
RJ na wadau wengine ambao walimisi Usiku wa vazi la Khanga kama umependa nguo na unahitaji kununua unaweza kumpigia simu mama mitindo Asya Idarous Khamsin amefikia Boston,MA # yake ni 832 273 6748

No comments: